Header Ads

STARS YAWASILI SALAMA MISRI..


Timu ya taifa ya Tanzania TaifaStars imewasili salama Misri tayari kabisa kuanza kambi ya wiki moja kujiandaa kucheza na Lesotho katika mchezo wa fainali za AFCON. 

Stars itashuka inatarajiwa kushuka dimba june 10 mwaka huu.

No comments:

Powered by Blogger.