SIMBA WATWAA NDOO YA FA KWA KUINYUKA MBAO - VYANKENDE.COM

Breaking

Post Top Ad

Millionaire  Ads

Saturday, 27 May 2017

SIMBA WATWAA NDOO YA FA KWA KUINYUKA MBAO

Klabu ya Simba  baada ya kuukosa ubingwa wa ligi kuu Tanzania hatimae wanyakua ubingwa wa Azam Sports Federation baada ya kuinyuka klabu ya Mbao kwa jumla ya goli 2-1 katika uwanja wa Jamhuri  Dodoma .

Katika mchezo huo uliokua mgumu  ilichukua dakaki 90' bila timu yoyote kupata goli kabla ya Blagnon kuipatia simba bao la kungoza huku mchezaji wa Mbao akirejesha goli hilo na katika dakika za lala salama Shiza Kichuya kutamatisha kazi kwa kupatia simba goli la pili na kuipa Simba ushindi huo..
No comments:

Post Bottom Ad

Pages