NGOMA,NIYONZIMA WASAINI MKATABA WA MIAKA MIWILI KILA MMOJA NJE YA KLABU YA YANGA,HII HAPA TIMU WALIKO ELEKEA... - VYANKENDE.COM

Breaking

Post Top Ad

Millionaire  Ads

Wednesday, 31 May 2017

NGOMA,NIYONZIMA WASAINI MKATABA WA MIAKA MIWILI KILA MMOJA NJE YA KLABU YA YANGA,HII HAPA TIMU WALIKO ELEKEA...

Katika kuelekea msimu mpa wa ligi kuu Tanzania bari huu hapa usajili wa ligi kuu Tanzania bara ikiwa ni moja ya maandalizi kwa timu mbalimbali.


 Kwa mujibu wa gazeti moja la michezo nchini limeripoti juu ya uhamisho wa nyota wawili wa klabu ya Yanga huku wakitajwa kuelekea msimbazi kwa kitita cha Millioni 300, nyota ha ni Donald Ngoma na Haruna Niyonzima. Hata hivyo kwa mujibu wa gazeti hilo imeripotiwa kuwa wachezaji hao wamesaini mkataba wa miaka miwili kila mmoja.

No comments:

Post Bottom Ad

Pages