LUIZIO AWAMBIA HIKI MASHABIKI WA KLABU YA SIMBA - VYANKENDE.COM

Breaking

Post Top Ad

Millionaire  Ads

Saturday, 27 May 2017

LUIZIO AWAMBIA HIKI MASHABIKI WA KLABU YA SIMBA

Mshambuliaji wa klabu ya Simba Juma Luizio  amewataka wapenzi na Mashabiki wa klabu hiyo kujitokeza mwa wingi uwanja wa Jamhuri Dodoma ili kuishangilia timu gao hiyo katika mchezo waleo dhidi ya Mbao Fc.

Luizio amesema kua anaamini nguvu yao huku ikiambatana na hamasa kutoka kwa mashabiki huenda ikarejesha furaha iliyokosekana baada ya kuukosa ubingwa wa ligi kuu Tanzani bara.
"Naamini tutachuku ubingwa,Ushirikiano wa mashabiki wetu na sisi kujituma naamini tutafuta machozi ya ligi kuu.

Klabu ya sinba itashuka dimbani leo jumamosi ya may 27 kucheza mchezo wa fainali ya kombe la Azam sports federation (FA) dhidi ya Mbao..

No comments:

Post Bottom Ad

Pages