KAMUSOKO MAMBO YAIVA ZIMBABWE - VYANKENDE.COM

Breaking

Post Top Ad

Millionaire  Ads

Thursday, 25 May 2017

KAMUSOKO MAMBO YAIVA ZIMBABWE


Kiungo wa Yanga, Thaban Kamusoko amejumuishwa kwenye kikosi cha kocha, Norman Mapeza.

Mapeza amemjumuisha Kamusoko katika kikosi chake cha Zimbabwe kwa ajili ya mechi muhimu ya kusaka tiketi ya Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika dhidi ya Liberia mwezi ujao.

Kamusoko anakuwa mwanasoka pekee wa Zimbabwe aliyeitwa katika kikosi cha timu ya Taifa, akiwaacha wenzake raia wenzake watano wanaomilikiwa na vilabu vya Tanzania.Kikosi cha Zimbabwe:

Makipa: Edmore Sibanda (Caps United), Ariel Sibanda (Highlanders), Petros Mhari (FC Platinum)

Mabeki:

Dennis Dauda (Caps United), Partson Jaure, Qadr Amin (Ngezi Platinum), Onesimo Bhasera (Supersport United), Teenage Hadebe (Chicken Inn), Jameson Mukombwe (Black Rhinos), Erick Chipeta (Ajax Cape Town), Sydney Linyama (Black Rhinos)

Viungo:

Thabani Kamusoko (Young Africans), Devon Chafa (Caps United), Simon Shoko (FC Platinum), Kudakwashe Mahachi ( Golden Arrows) Khama Billiat (Mamelodi Sundowns) Marvelous Nakamba (Vittese), Danny Phiri (Golden Arrows), Liberty Chakoroma (Ngezi Platinum), Ovidy Karuru (AmaZulu), Ronald Chitiyo (Caps United)

Washambuliaji:

Tendai Ndoro (Orlando Pirates), Evans Rusike (Maritzburg United), Knowledge Musona ( OK Oostende), Prince Dube (Highlanders)

No comments:

Post Bottom Ad

Pages