JONAS MKUDE APATA AJALI - VYANKENDE.COM

Breaking

Post Top Ad

Millionaire  Ads

Sunday, 28 May 2017

JONAS MKUDE APATA AJALI

Nahodha wa Klabu ya Simba, Jonas Mkude amepata ajali baada ya gari walilokuwa wakisafiri naloambapo limepinduka katika eneo la Dumila Mkoani Morogoro safarini kuelekea jijini Dar es salaam.


Jonas Mkude akiwa katika gari ‘Toyota VX’ lenye namba za usajili T 834 BLZ kutokea Dodoma gari lilipata msukosuko baada ya gurudumu la gari hilo kupasuka ambapo kupelekea gari hilo kpinduka na kutoka nje ya barabara ambapo majeruhi wawili katika ajali hiyo wamewahishwa katika Hospitali ya mkoa Morogoro kwa matibabu zaidi.

Jonas amepata ni mziam wa afya inagawa anaugulia majeraha madogo madogo.

No comments:

Post Bottom Ad

Pages