BABA MKANYE MWANAO SINGIDA UNITED( BLUES) WAINGIA KAMBINI HAPATOSHII MSIMU UJAO. - VYANKENDE.COM

Breaking

Post Top Ad

Millionaire  Ads

Tuesday, 30 May 2017

BABA MKANYE MWANAO SINGIDA UNITED( BLUES) WAINGIA KAMBINI HAPATOSHII MSIMU UJAO.


Siku moja tangu kuanza kwa mazoezi ya maandalizi yz msimu mpya wa ligi kuu Tanzania bara msimu wa 2017/2018 kwa vijana wa Singida United leo hii pia wapo mzoezini kuendelea na maandalizi.

Singida united inatarajiwa kuonyesha upinzani mkubwa katika ligi hiyo baada ya kufanya usajili wakutisha msimu huu na kwa klabu iliyopanda kutoka ligi daraja la kwanza..


Hata hivyo imani ya Watanzania wengi ni kua Singida huenda ikaondoa usimba na uyanga kwa kutwaa ndoo hiyo huku ikiwatengenezea njia klabu za kagera sugar na Azam kufikilia ubwa msimu unafuata.

No comments:

Post Bottom Ad

Pages