Header Ads

ARSENAL YAINYUKA CHELSEA YATWAA UBINGWA WA FA NCHINI ENGLAND..


Klabu ya Arsenal imetwaa ubingwa wa FA baada ya kuiadhibi klabu ya Chelsea kwa idadi ya goli 2-1  kwa kazi ya Alexs Sanchez dakika ya 4' kabla ya Victor Moses kurejesha mnamo dakika ya 68' na hatimae Aaron Ramsey 

Hadi dakika 90' zinamalizika Arsenal 2-1 Chelsea hivyo Arsenal imetwaa ubingwa huo.

No comments:

Powered by Blogger.